Mawasiliano
St. Monica's Catholic Church, Mwavuli
Kanisa liko Barabara ya Mwavuli, mita mia mbili kupita soko upande wa kushoto, mkabala na kambi ya chifu. Matatu za njia ya Mwavuli–Bahari husimama kituo cha soko; tembea kuelekea tanki la maji na utaona mnara wa kengele mbele yako. Kuna maegesho ndani ya lango siku za Jumapili.
- Kanisa
- Mwavuli Road, Mwavuli
- Anwani ya posta
- PO Box 100, Mwavuli
Ofisi
- Jumatatu
- 8.00am–5.00pm
- Jumanne
- 8.00am–5.00pm
- Jumatano
- 8.00am–5.00pm
- Alhamisi
- 8.00am–5.00pm
- Ijumaa
- 8.00am–5.00pm
- Jumamosi
- 8.00am–1.00pm
- Ofisi ya parokia
- +254 700 000 000
- Ofisi ya wakatekista
- +254 700 000 001
- Ofisi ya parokia
- office@stmonica.test
- Dawati la ulinzi
- safeguarding@stmonica.test
Ofisi ya parokia hujibu ujumbe siku za kazi.